Cooper ob/gyn Flashcards

1
Q

Do you have vaginal itching?

A

Je, una kuwasha ya sehemu za siri/uke?

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
2
Q

To become nauseated

A

Kuchefuka

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
3
Q

Condom/s (2)

A
Kondomu
Mpira (wa kujamiana) / mipira (ya kujamiana)
How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
4
Q

Do you have unusual discharge from the vagina? A little or a lot?

A

Una utoko wowote? Kidogo wala mingi?

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
5
Q

Kadiri (2)

A
  1. Estimated amount, moderate amount

2. To estimate, to calculate

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
6
Q

Ovary/ies

A

Mfuko wa yamai / mifuko ya mayai

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
7
Q

How to form comparative adj - ie tom is bigger than per

A

X + adj + kuliko + y

Tom ni kubwa kuliko per

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
10
Q

Contraceptive pills (2)

A

Vidonge vya majira
Vidonge vya kuzuia uzazi

(Vidonge: Tablets)
(Majira: Period, time)
(Kuzuia: To prevent)

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
12
Q

A medicine to bring on your labourpains

A

Dawa ya kusudi upate uchungu

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
13
Q

Ectopic pregnancy (2)

A

Mimba iliyo nje ya kizazi / mji wa kizazi / mji wa uzazi
Mimba ya mfuko wa mayai (‘Pregnancy of bag of eggs’)

(Mji wa uzazi - Uterus (‘City of maternity/labor)
(Mfuko wa mayai - ovary)

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
14
Q

Mother’s milk

A

Maziwa ya mama

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
15
Q

Do you have pain during intercourse?

A

Una maumivu wakati wa kujamiiana?

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
16
Q

Nausea (2)

A

Kichefuchefu

Kigagazi

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
17
Q

We are expecting our second child in September

A

Tunatarajia kupata mtoto wa pili mwezi wa tisa

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
18
Q

Pregnant women/s

A

Mjamzito/wajamzito

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
19
Q

Did your water break? (2)

A

Ulipoteza maji?

Vunja chupa?

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
20
Q

Baby/ies

A

Mtoto mchanga/watoto wachanga

Mchanga: Baby, newborn

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
21
Q

Do you know your blood type?

A

Unajua aina yako ya damu?

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
22
Q

When was your last period?

A

Lini ulipata hedhi kwa mara ya mwisho?

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
24
Q

Do not push yet!

A

Usisukume bado

Kusukuma: To push

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
25
Q

Do you bleed between periods?

A

Je, una damu ya ziada kati ya vipindi hedhi?

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
26
Q

To itch, to irritate

A

Kuwawa

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
27
Q

To miscarry

A

Kuharibu mimba (‘To ruin/destroy pregnancy’)

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
28
Q

When did your contractions start?

A

Ulianza kazi lako lini?

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
29
Q

Intentionally, purposely

A

Kusudi

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
30
Q

Swelling

A

Uvimbe

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
32
Q

To stand

A

Kusimama (also to stop)

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
33
Q

Menopause

A

Kukatika hedhi

Kukatika: To be cut, to come to an end

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
34
Q

Recently (3)

A

Hivi karibuni
Karibuni
Juzijuzi

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
35
Q

Are you having vaginal bleeding?

A

Unatoka damu ya sehemu za siri/ uke?

Uke: Vagina, womenhood

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
36
Q

Is the flow heavy?

A

Unapata damu mingi?

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
37
Q

Is there Foul smelling discharge / purulent discharge?

A

Kuna uchafu unatoka sehemu za siri?

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
38
Q

Maternity allowance

A

Marupurupu ya uzazi

Marupurupu: Allowance
(Uzazi: Birth, childbearing)

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
38
Q

Embryo/s

A

Kiinitete/viinitete

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
39
Q

Birth

A

Uzazi

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
40
Q

Fetus/es

A

Mimba

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
41
Q

Contraction/s (2)

A

Uchungu

Bano/mabano

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
42
Q

Plan/s

A

Mpango/mipango

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
43
Q

Do you have an intrauterine device (IUD)?

A

Una kifaa cha kuzuia mimba?

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
44
Q

To fertilise

A

Kutungisha mimba

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
45
Q

To break waters (2)

A

Kuvunja maji

Kuvunja chupa

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
48
Q

To intend, to purpose, to aim for

A

Kusudi

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
49
Q

To conceive/get pregnant

A

Kutunga mimba

Kutunga: To compose, to form matter

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
50
Q

Midwife/s (2)

A

Mkunga/wakunga

Mzalishaji/wazilishaji

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
51
Q

Could you possibly be pregnant? (2)

A

Je, unaweza uwezekano kuwa mjamzito?

Unaweza kuwa na mimba?

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
53
Q

Gloves

A

Gloves

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
54
Q

Cow’s milk

A

Maziwa ya ng’ombe

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
55
Q

Depot contraceptive injection

A

Sindano ya kuzuia mimba

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
56
Q

Is this your first baby?

A

Huu ni mtoto wako wa kwanza?

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
57
Q

Bottle

A

Chupa

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
59
Q

To breastfeed (2)

A

Kunyonyesha

Kumpa kifua

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
59
Q

Sanitary towel/s (2)

A

Pedi
Kibinda/vibinda

(May be awkward for males to use)

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
60
Q

To leak, to ooze out

A

Kuvuja

62
Q

Do you have ankle swelling?

A

Je, una uvimbe wa vifundoni?

63
Q

How many moths pregnant are you?

A

Umekuwa mjamzito kwa miezi mingapi?

64
Q

Were your deliveries normal?

A

Je, ulikuwa na ugumu wowote na kujifungua au katika siku za nyuma?

65
Q

Are you pregnant? (2)

A

Ni mjamzito?

Una mimba?

66
Q

To stop (2)

A

Kusimama (also to stand) (to make stop ie car - kusimamisha)

67
Q

Many congratulations

A

Hongera sana

69
Q

The baby/ies is/are / seem healthy

A

Mtoto anaonekana mwenye afya

Watoto anaonekana wenye afya

71
Q

To join

A

Kuinigia

72
Q

Did you have any problems at the time of giving birth?

A

Wakati wa kujifungua ulipata shida?

73
Q

To abort fetus

A

Kuharibu mimba

74
Q

To have menstrual period (3)

A

Kuona mwezi
Kuona hedhi
Kuona damu ya mwezi

76
Q

To be possible

A

Kuwezekana

77
Q

Are your periods regular?

A

Unapata wakati wa hedhi pepe?

78
Q

Push now!

A

Sukuma sasa

79
Q

Push very hard!

A

Sukuma sasa kwa nguvu kadiri uwezavyo

Uwezavyo: As you can

80
Q

It is a girl

A

Ni msichana

81
Q

Infant/s

A

Mtoto mchanga/watoto wachanga

83
Q

Lust (2)

A

Uchu

Hamu (‘Desire’)

84
Q

How many times have you been pregnant?

A

Umekuwa na mimba mingapi?

85
Q

To suck

A

Kufyonza

86
Q

Have you missed your menstrual period recently?

A

Umekosa hedhi hivi karibuni?

88
Q

To agree

A

Kukubali

89
Q

Milk

A

Maziwa

90
Q

How many days do your periods last?

A

Siku ngapi kufanya vipindi hedhi ya mwisho?

92
Q

You have/it is twins

A

Ni mapacha

93
Q

Gestation period

A

Wakati wa uja uzito (‘Period of human weight/difficulty’)

94
Q

She has gone beyond her estimated date of delivery (2)

A
Amepita siku zake ('Passed her days')
Amechelewa kuzaa ('She is late to give birth')

(Kuchelewa: To be late)

97
Q

Ankle/s

A

Kifundo/vifundo

98
Q

To give birth (2)

A

Kuzaa

Kujifungua (#1)

99
Q

Afterbirth (Placenta etc)

A

Kondo la nyuma

Nyuma: Back, behind

100
Q

That/it looks good (2)

A

Inaonekana nzuri

Nzuri hiyo

100
Q

To burst

A

Kupasuka

100
Q

How many children do you have?

A

Je, una watoto wangapi?

102
Q

Did you have problems in your previous pregnancies?

A

Je, una matatizo yoyote na mimba kabla yako?

104
Q

City/ies

Village/s

A

Mji/miji

Kijiji/vijiji

105
Q

Menstrual cycle

A

Mzunguko wa hedhi

105
Q

Midwifery

A

Ukunga

105
Q

When was your last period?

A

Lini ulipata hedhi kwa mara ya mwisho?

105
Q

To sterilise

A

Kufunga kizazi

Kizazi: Birth, generation

106
Q

Clot/s

A

Bonge/mabonge la/ya damu

107
Q

It is a boy!

A

Ni mvulana

108
Q

To prevent, to obstruct, to stop

A

Kuzuia

109
Q

Do you have vaginal pain?

A

Uko na uke maumivu?

110
Q

Is the baby moving?

Do you feel the baby moving?

A

Je, mtoto anacheza?
Unasikia mtoto akitembea?
(Kutembea: To walk/travel around)

111
Q

Is the vaginal bleeding continuous or does it come and go?

A

Unatoka damu ya sehemu za siri /uke mfululizo au kunakuja na kwenda?

(Mfululizo: Constantly)
(Kunakuja na kwenda: come and go)

112
Q

Cycle

A

Mzunguko

112
Q

Pregnancy (2)

A

Mimba

Ujauzito

112
Q

Can we do a pregnancy test?

A

Tufanye upimaji wa ujauzito?

Ujauzito: Pregnancy

114
Q

Amenorrhea (2)

A

Kutopata hedhi
Uksefu wa hedhi

(Hedhi: Menstruation/period)

115
Q

This pregnancy formed outside the uterus and when it ruptured she bled a lot in the abdomen

A

Mimba hii ilitunga nje ya mji wa uzazi na ilipopasua akavuja damu nyingi tumboni

(Kupopasua: To burst)

116
Q

To begin menstruating

A

Kuvunja ungo

116
Q

Are your periods painful?

A

Wakati ya kupata damu unasikia maumivu?

117
Q

Have you had flatus?

A

Unajamba?

118
Q

What do you use for contraception? (4)

A

Je, unatumia njia gani kuzuia mimba?
Je, unatumia njia gani kuzuia mimba zisizotakikana?
Je, unatumia njia gani kwenye mpango wa uzazi?
Je, unatumia njia zipi za uzazi wa mpgano?

(Njia: Road, pathway)
(Mpango: Plan)

119
Q

Purpose/s, intention/s, reason/s

A

Kusudi/makusudi

119
Q

When did your last period start? (2)

A

Uliingia mwezini tarehe gani hivi karibuni?
Hedhi yako mwisho ilikuwa lini?

(Kuingia: To enter, to go in, to join)

119
Q

Do you take birth control pills?

A

Unatumia vidonge vya kuzuia mimba?

120
Q

How long have you had the bleeding?

A

Umetoka damu ya sehemu za siri /uke kwa muda gani?

121
Q

Twin/s

A

Pacha/mapacha

-triplets - mapacha matatu

121
Q

How many times have you given birth?

A

Je, umezaa mara ngapi?

121
Q

Thread/s

A

Uzi/nyuzi

123
Q

Menstrual period (3)

A

Hedhi
Damu
Damu ya mwezi

123
Q

Contraceptive pill/s (2)

A

Kidonge cha majira/vidonge vya majira

Kidonge cha kuzuia mimba/vidonge vya kuzuia mimba

123
Q

Possibility/ies

A

Uwezekano

124
Q

To be born

A

Kuzaliwa

124
Q

She has given birth safely

A

Amejifungua salaama

124
Q

Uterus (3)

A

Kizazi / mji wa kizazi
Mji wa uzazi (‘City of birth/childbearing’)
Mahali pa mtoto (Place of the child’)

124
Q

Coil (2)

A

Tambi ya kuzuia uzazi

Kitanzi/vitanzi (‘Loop’)

124
Q

To ovulate

A

Kutengeneza yai

Kutengeneza: To form

124
Q

How many children do you have?

A

Una watoto wangapi?

124
Q

Have you had any miscarriages?

A

Ulikuwa haribikiwa na mimba?

124
Q

Are the contractions regular or irregular?

A

Ni uchungu wa kuzaa yako ya si kawaida au kawaida?

126
Q

To hope, to expect, to wait for

A

Kutarajia

127
Q

To push

A

Kusukuma

128
Q

Possibly/maybe (3)

A

Labda
Pengine
Yamkini

129
Q

Sometimes

A

Pengine

130
Q

When

A

Lini (#1)
-po- (in relative constructions)
Wakati gani