Med - Chief complaint Flashcards Preview

Swahili > Med - Chief complaint > Flashcards

Flashcards in Med - Chief complaint Deck (30)
Loading flashcards...
1
Q

Chief complaint

A

Jambo ambalo mgonjwa analalamikia

2
Q

When did this problem start?

A

Hii shida ilianza lini?

3
Q

How many days have you been feeling ill?

A

Umekuwa na ugonjwa kwa siku ngapi?

4
Q

Have you had an accident?

A

Ulikuwa kwenye ajali?

5
Q

Is this injury from a landmine

A

Jeraha hili linatokana na bomu la kuzika ardhini?

  • Jeraha/majeraha: Wound/s, sore/s, ulcer/s
  • Bomu/mabomu: Bomb/s
  • Kutokana: To result from, to derive from
  • Kuzika: Buried
6
Q

Were you shot with a gun?

A

Ulipgwa risasi?

  • Kupigwa: To be beaten/affected by
  • Risasi: Bullet/s
7
Q

Is this from a machete?

A

Hii inatoka kwa panga?

-Panga/mapanga: Machete/s

8
Q

Is this from a car accident?

A

Hii inatoka kwa ajali ya gari?

9
Q

Did you lose consciousness after this happened?

A

Ulipoteza fahamu baada ya hii kufanyika?

  • Fahamu: Recollection, consciousness, memory
  • Kufanyika: To be done, to be made
10
Q

What medicine have you been taking?

A

Nini dawa umepata?

11
Q

Do you have any pain?

A

Una maumivu yoyote?

12
Q

When did the pain start? (Use the calendar to show me)?

A

(Maumivo) yalianza lini? (Onyesha kwenye kalenda na saa)

13
Q

How many days have you had the pain?

A

Umekuwa na maumivu kwa siku ngapi?

14
Q

What is your level of pain? 0 = No pain, 10 = severe pain

A

Maumivo yako ni makali vipi? Unaweza kunipa makali kama sifuri (0) ni sawa na hapana maumivo na kumi ni maumivu kabisa?

15
Q

To hold (up), to keep

A

Kushika

16
Q

Hold up the number of fingers

A

Shika juu namba ya vidole

17
Q

Is the pain severe?

A

Je, maumivu ni mengi sana?

18
Q

Is the pain sharp or dull?

A

Je, ni maumivu makali au yaliyofifia?

  • Makali: Sharp
  • Yaliyofifia: Dull
19
Q

Is your pain burning?

A

Una maumivu kiwasho?

20
Q

Is your pain cramping?

A

Je, ni maumivu yaneochoma?

21
Q

Is the pain constant?

Or does it come and go?

A

Je, ni maumivu ya daima?

Au yanakwenda na kurudi?

22
Q

Does the pain go to your back?

A

Maumivu yanaenda mgongoni?

23
Q

Touch the spot where it hurts with one finger?

A

Tia mkono kwenye unaumizwa

24
Q

What makes it better?

A

Ni nini inapunguza maumivu?

25
Q

What makes it worse?

A

Ni nini inazidisha maumivu?

26
Q

When do you get the pain?
At night?
Before meals?
After meals?

A

Wakati gani unasikia unaumizwa?
Usiku?
Kabla hujakula?
Kisha kula?

-Unasikia: You hear, you feel

27
Q

Have you been in the hospital before?

A

Umekuwa katika hospitali kabla ya?

28
Q

What were you treated for?

A

Nini tiba gani kupokea katika hospitali?

  • Tiba: treatment
  • Kupokea: To receive
29
Q

Sio

A

From ‘siyo’: not / not so

30
Q

Kuumwa

A

To ache, to be in pain (Kuuma means basically the same: to ache, to hurt)